Plot4Sale Eneo la acre1 linauzwa Kerege.

Hilo shamba lina miundo mbinu gani mingine mpaka liuzwe ghali hivi?
Kuna maji, umeme na ni tambarare. Very decent neighborhood.

Maeneo ya karibu kuna maendelezo yaliyo katika mpangilio wa master plan mkoa wa Pwani
 
Nasemea viwanja vilivopimwa na huduma zote muhimu tofauti na Hilo shamba tu aisee, nafatiliaga sana huko loh. Why iwe expensive kwa tofauti kubwa hvo
Thamani ya kiwanja kwenye eneo lilipo shamba hili ni kati ya shilingi 12,000.0 hadi 18,000.0 per square meter. Hii ni ekari ya 70meters by 70 meters(proper meters na sio hatua) that means ni 4900sqm

Fanya utafiti japo kidogo cariha. Mapinga na Kerege distance ya 2.5 km kutoka Bagamoyo Road mkono wa kulia kama unaenda Bagamoyo viwanja vya 20×20 ni kiasi gani? Tena eneo likiwa tambarare, bomba kubwa la maji limepita karibu na umeme upo

Kwa kukusaidia maeneo hayo 20×20 ni kati ya shilingi 5,000,000.0 hadi 8,000,000.0 kutegemea na location na jiografia ya kiwanja

Kwa bei ya kutupa kwa mfano shilingi 8000 per sqm nikiamua kukata viwanja nitapata zaidi ya hiyo. Na kuna jirani zangu wameuza maeneo yao kwa bei zaidi ya hiyo. Sema mimi sio muumini wa kupima viwanja vya 20×20. Huwa naona ni uharibifu wa ardhi na upangaji mbaya wa makazi
 
Huko Nako Kuna Mikasa Sana
Kuna Thread Aliyejenga Nyumba Huko Ikawa Tabu
Kuna Thread Aliyefuga Majoka Ikawa Tabu Kukamua Sumu
Haa
 
Naomba uniunganishe na huyo jirani yako tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…