Plot4Sale Eneo la acre1 linauzwa Kerege.

Kwanini Kuna tabia ya kujipangia bei ya ardhi kwa unavyotaka. Nashauri kuwepo na sheria ya kupanga bei ya viwanja na kila kiwanja kilipiwe kodi wakati wa kuuzwa
 
Naomba uniunganishe na huyo jirani yako tafadhali

Kwanini Kuna tabia ya kujipangia bei ya ardhi kwa unavyotaka. Nashauri kuwepo na sheria ya kupanga bei ya viwanja na kila kiwanja kilipiwe kodi wakati wa kuuzwa
Donkey,

Biashara zote ni huria siku hizi isipokua chache na maalum kama mafuta (fuel), nishati na zingine chache

Serikali inaangalia na kusimamia matumizi ya ardhi na sio kuingilia na kupanga bei za viwanja na mashamba japo kweli kwa mujibu wa sheria ardh yote ya nchi hii ni mali ya serikali chini ya usimamizi wa Rais wa Jamhuri na tunaoitwa wamiliki tumepewa kama dhamana(amana) tu

Kwa maeneo mengi ya Mikoa ya Pwani na Dar bei ya soko ya ardhi inategemea factors kadhaa kama ukubwa wa ardhi husika, accessibility, jiografia ya eneo, neighborhood, umbali kutoka mjini nk

Bei ya soko ya ili eneo ninalozungumzia ni kuanzia 12,000.0 hadi 18,0000.0 kwa mita za mraba kutegemea na umbali kutoka barabara kuu ya Bagamoyo

Kuhusu kulipia kodi hiyo ni lazima mkuu wangu. Unapomiliki ardhi unalipa kodi na unapouza vilevile lazima kulipia kodi
 
Unauza kiwanja ishirini ni kuharibu tu ardhi na nyumba kubanana kama za Sinza
 
Huko Nako Kuna Mikasa Sana
Kuna Thread Aliyejenga Nyumba Huko Ikawa Tabu
Kuna Thread Aliyefuga Majoka Ikawa Tabu Kukamua Sumu
Haa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…