Eneo la biashara linahitajika

Eneo la biashara linahitajika

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
139
Reaction score
89
Wadau,

Nahitaji sehemu/kiwanja kilichotizamana na barabara kwaajili ya kuweka kontainer la biashara.

Iwe Bagamoyo road kuanzia Tegeta mpaka Mapinga Bagamoyo. Iwe na mkusanyiko wa watu na huduma ya maji na umeme viwe karibu.
 
Back
Top Bottom