Eneo la Biashara ya chakula linatafutwa Dar es Salaam

Eneo la Biashara ya chakula linatafutwa Dar es Salaam

clinician

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
2,098
Reaction score
4,926
Habari!

Linatafutwa eneo katika mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuweka biashara ya Restaurant. Eneo liwe na population nzuri,watu wa kipato cha kati na juu na linalofikika kwa urahisi.

Sehemu yeyote katika mkoa wa Dar es salaam itafaa ili mradi kuwe na potential ya biashara hiyo.

Kama una eneo au msaada wa aina yeyote katika hili naomba tuwasiliane PM au kwa namba 0685308674.
 
Kila la kheri, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Back
Top Bottom