Lyandembela1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 277
- 113
Heshima mbele wakuu na madaktari wote pande hizo.
Huyu ni msichana wa umri wa miaka 28 analalamika kuwa chini ya kitovu panavuta, Wiki moja imepita trh 03/08 alikwenda Muhimbili hosipitali wakampima vipimo vyote, ULTRA SOUND, X-RAY pamoja na full blood picture kulingana na maelezo yake. lakini mwishoe daktari alisema hana atizo lolote zaidi ya vidonda vya tumbo. Na akapewa dawa za kutumia kwa siku tano.
Sasa anasema lile tatizo limeanza kujirudia tena afanyaje ndugu zangu wataalamu, au tatizo litakuwa zaidi ya hilo la ULCERS?
Tafadhali msaada wenu, usiku hapalaliki jamani. full kujinyongorota.
CC: Dr MziziMkavu Dr Preta

Last edited by a moderator: