KERO Eneo la Goba tunasumbuliwa sana na TRA, wanawachukua wadada wa dukani na kufunga maduka

KERO Eneo la Goba tunasumbuliwa sana na TRA, wanawachukua wadada wa dukani na kufunga maduka

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    tra
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wafanyabiashara eneo la Goba tunasumbuliwa sana na TRA, unamuacha dada dukani anafanya biashara, wanakuja kukamata na kumpakia kwenye gari kuwa hajalipa kitu fulani, hivi ukimkamata ukafunga duka ndiyo atalipa? Atatoa wapi fedha?

Nashauri watoe hata notes ya siku kadhaa ndiyo waje kufunga maduka

Mgambo wao wanawatisha sana wadada, biashara ngumu bado na usumbufu na vitisho juu khaa!
 
Labda nikusaidie TRA hawana mamlaka ya kuondoka na mtu dukani na ninavyojua mimi hata kufunga duka kwa namna hiyo . Pia sijawahi ona wakitembea na mgambo usije kuta umechanganya tra na taasisi ingine yenye migambo . navyofahamu tra wao huja bila mgambo na kama wapo kwenye magendo kuvizia huwa wanatembe ana polisi kwa ajili ya usalama tu siyo kukamata. hebu fatilia vizuri hao watakuwa ni vishoka au taaisis ingine
 
Back
Top Bottom