Eneo la karibu na Baharini Linauzwa Kigamboni

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Eneo la karibu na baharini linauzwa Kigamboni km 17 kutoka ferry.
Eneo hilo la ukubwa wa heka 10 liko umbali wa mita 300 kutoka baharini.
Maji yanapatikana karibu kwa kudrill na umeme uko karibu.
Eneo linafaa kwa ufugaji, kujenga shule au chuo, makazi, hoteli au mradi wa makazi/apartments.
Kila heka 1 inauzwa kwa milioni 8.
Mwenye kuhitaji anakaribishwa PM.
 
Halafu leo nimeota bahari inasigea nchi kavu sijui kweli
 
uwe na hela ya kupambana mahakamani na uwe na afya njema maana utakavyoambiwa umejenga kwenye eneo la bahari hairuhusiwi na umeshajenga mjengo kama hekalu ujue presha itakuuwa tu
 
uwe na hela ya kupambana
mahakamani na uwe na afya njema maana utakavyoambiwa umejenga kwenye
eneo la bahari hairuhusiwi na umeshajenga mjengo kama hekalu ujue presha
itakuuwa tu

Hahahaha! Dah! Mkuu, usiwe mwepesi wa kufanya assumptions. Hili eneo sio Beach Plot, liko mita 300 kutoka baharini, ni beach ya 4. Eneo la hifadhi ya bahari ni mita 65, hizo mita 300 zinahesabiwa baada ya hizo mita 65 za hifadhi ya bahari ambayo hairuhusiwi kumilikiwa na mtu yeyote kwa sababu ni eneo la umma.
Isitoshe katika maeneo ya karibu kuna majengo ya kisasa kama ushahidi kuwa unaweza kuwekeza katika eneo hilo bila matatizo.
Nadhani Nimekuelewesha vya kutosha Mkuu.
 
asante kwa kunielewesha dugu yangu maana siku hizi mambo yamekuwa mengi mno...
 
Eneo la karibu na baharini linauzwa Kigamboni km 17 kutoka ferry.
Eneo hilo la ukubwa wa heka 10 liko umbali wa mita 300 kutoka baharini.
Maji yanapatikana karibu kwa kudrill na umeme uko karibu.
Eneo linafaa kwa ufugaji, kujenga shule au chuo, makazi, hoteli au mradi wa makazi/apartments.
Kila heka 1 inauzwa kwa milioni 8.
Mwenye kuhitaji anakaribishwa PM.

Mkuu inaitwaje hiyo sehemu lilipokuwepo hilo eneo?
 
Back
Top Bottom