BwanaSamaki012
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 212
- 250
Eneo la ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba (cage culture) linakodishwa kwa gharama nafuu, eneo linapatikana Mwanza wilaya ya Ukerewe, ndani ya Ziwa Victoria.
Eneo hili lina sifa nzuri kwa muwekezaji anaetaka kuwekeza kwenye ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba.
Sifa za Eneo
1. Vibali Kamili: Eneo hili limepata vibali vyote muhimu kutoka kwa mamlaka husika, kuruhusu shughuli za ufugaji wa samaki. Hakuna kikwazo cha kisheria kinachozuia matumizi ya eneo hili kwa shughuli hizi.
2. Maji Safi: Eneo hili lina maji safi yanayofaa kwa ufugaji wa samaki.
3. Ulinzi wa Mazingira: Eneo limejitenga na lina kinga dhidi ya mawimbi makubwa na upepo mkali, kuhakikisha usalama wa vizimba vya samaki.
4. Ufikiaji Rahisi: Eneo hili linafika kwa urahisi, kuwezesha usafirishaji wa vifaa na samaki.
Gharama ya Kukodi
Gharama ya kukodi eneo hili ni TZS 800,000 kwa mwaka.
Kama ulikuwa unajiuliza wapi unaweza pata eneo ili uwekeze kwenye fursa hii mpya inayokuwa haraka, basi eneo ndio hili hapa linapatikana
Kwa maelezo zaidi na kuona eneo, tafadhali wasiliana nasi.
+255758779170