Hakuna mzungu anaefanya vizimba bado ni wizara inawapa hadi mikopo wazawa ,isitoshe hakuna kemikali zinazotumika ni vyakula vya kawaida vinasagwaWazungu walifanya hivyoo wakaharibu kwao sasa wanabanana huku kwetu
Mkuu ni gharama kiasi gani ambazo zinatakiwa baada ya kukodisha mpaka kufikia kuanza kuvuna?Wachina wanamaeneo yao na wale watanzania mradi wao uliozinduliwa na Mama ni mradi wa kimkakati
Hii post inahusu eneo linalokodishwa kwa watu binafsi wanaotaka kuwekeza kwenye ufugaji samaki ila wanapitia ugumu kwenye kupata vibali
Kufuga samaki sio kujituma?Hizi ndio uchafuzi wa mazingira,napia uharibifu wa ziwa nendeni mkatoe haya makitu yenu ziwani mkawekee sehemu ingine ambapo ni sahihi . Tatizo hamtaki kujituma nyie ni Yes sio no
Zaid ya 40% ya Tanzania ni vivutio, huvimaliz hata miaka bukuTukishakosa vivutio ndio mtajua mnapata wapi vingine
Gharama zinategemea na unataka kuvuna tani ngapi per each production cycleMkuu ni gharama kiasi gani ambazo zinatakiwa baada ya kukodisha mpaka kufikia kuanza kuvuna?
Jaribu kujenga mtazamo chanya, sio kila kitu kinacholetwa na wazungu ni kibaya ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba unaenda kupunguza fishing pressure, kwa sababu watu wanakuwa na njia mbadala na ya uhakika ya kupata samaki bila kutengemea samaki toka vyanzo vya hasiri (ziwani, wabwani au mitoni)Wazungu walifanya hivyoo wakaharibu kwao sasa wanabanana huku kwetu
Hakuna mzungu anaefanya vizimba bado ni wizara inawapa hadi mikopo wazawa ,isitoshe hakuna kemikali zinazotumika ni vyakula vya kawaida vinasagwa
Hakuna mzungu anaefanya vizimba bado ni wizara inawapa hadi mikopo wazawa ,isitoshe hakuna kemikali zinazotumika ni vyakula vya kawaida vinasagwa
UKIONA MTU ANAWEKA L BADALA YA R NI JUA WAMESHAHARIBU KITU LAZIMA MUOGOPETAFIRI wameshafanya research na kujilizisha ufugaji wa aina hii ni salama kwa mazingira
Samaki wanakuwa under control hawainteract na samaki wa asili
Naomba unipembulie ya cage moja ya samaki 12,000 mpaka kufikia mavuno unatumia sh. Ngapi?Gharama zinategemea na unataka kuvuna tani ngapi per each production cycle
Mfano utengenezaji wa cage moja yenye uwezo wa kuchukua samaki 12,000 ni Tsh 3,000,000
Hivyo basi nikijua unataka kuweka cage ngapi itakuwa rahisi kukufanyia upembuzi yakinifu na kukupa actual cost
Kupata kilo moja ya samaki inatumia kilo moja ya chakula,on average kilo moja ya chakula ni 3600 per kg Kwa chakula imported,kuna gharama za vifaranga bei ni 150-300tshs Kwa kimoja,ongeza gharama zako zingine binafsi usafiri,kusafisha vifaranga,kusafisha chakula,kijana WA kulisha,etc... profit margin itakua Kwa around 40%(Kwa hesabu kamili weka hiyo figure yako ya 12000 fish)Naomba unipembulie ya cage moja ya samaki 12,000 mpaka kufikia mavuno unatumia sh. Ngapi?