Edsger wybe Dijkstra
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 244
- 491
Niaje wadau, ni wapi Dar panafaa kwa biashara ya ufundi tajwa hapo juu kwa mtu anaenza na hana mtaji wa kukodi frem sehemu zilizochangamka kama Kariakoo na zinginezo?
Yaani namaanisha sehemu yenye idadi kubwa ya watu na bei ya frem iwe chini sana angalau isizidi elfu 50 kwa mwezi, msaada mimi sio mwenyeji sana wa jji la Dar es salaam.
Yaani namaanisha sehemu yenye idadi kubwa ya watu na bei ya frem iwe chini sana angalau isizidi elfu 50 kwa mwezi, msaada mimi sio mwenyeji sana wa jji la Dar es salaam.