Location ni kutafuta mwenyewe mkuu mtu anaweza kwambia mahala hapa ni kuzuri ila ukaenda ukakuta hapakurizishi tafuta elfu 15 kama nauli zunguka na daladala ,Tandika, Mbagala, Mbande kisewe, Chamazi, kigamboni, Gongo la mboto, Buza, kijichi, Tegeta, ubungo, Mabibo,Mbezi kimara kote uko kuna misongamano ya watu