Eneo la kujenga hotels na beach linauzwa Luchelele Mwanza

Eneo la kujenga hotels na beach linauzwa Luchelele Mwanza

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
883
Husika na kichwa cha habari hapo Juu eneo la biashara ukubwa wa ekari mbili na nusu linauzwa limepimwa hati miliki zote zipo hili eneo linafaa kujenga hotels za kitali na beach nzuri liko pembezoni mwa ziwa victoria bei kwa eneo lote ni milion Mia moja na ishirini maongezi kidogo yapo kwa maongezi zaidi whatsapp me 0763772636
IMG20190722140149.jpg
IMG20190722140125.jpg
 
Zipo ndugu na zinafanya kazi!! Unaweza kuona mji umekaa kushoto kiutalii lakini utashangaa wanatok serengeti wanapumzika mwanza wanaendelea na safari zao!! Hata hivo bado bei ya hicho kiwanja ni aghali sana
Ujenge Beach Hotel Mwanza kwa wageni gan?
 
Hii tabia ya watz kudharau maeneo itakuja kutucost.
 
Back
Top Bottom