Eneo la kuweka mashine ya kusaga na kukoboa

Eneo la kuweka mashine ya kusaga na kukoboa

Mdogo ake the BOLD

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
510
Reaction score
871
Habarini wakuu,

Katika kujitafuta nimefanikiwa kununua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi.Nilikua naomba kama kuna mtu ana eneo sehem yenye mzunguko wa watu wengi au kama kulikua na mashine halaf ikatolewa anijuze ili niweze kuweka hii ya kwangu.

Napendelea maeneo ya Morogoro road kuanzia magomeni hadi kibamba na bagamoyo road kuanzia Moroco hadi Mapinga lengo ni kupata wateja wa jumla na rejareja

Location: Dar es Salaam
 
Shuka manzese Kuna eneo linaitwa pakacha ni upande wa kulia kama unatoka mjini huko utakutana na wenzako utajipima ubora wa mashine na mtaji wako
 
Back
Top Bottom