Eneo la kuweka mashine ya kusaga na kukoboa

Hongera kwa kukamilisha hatua moja ya kumiliki mashine zako, hiyo kwanza ni hatua kubwa ya msingi sana.

Achana na hao wanaokukatisha tamaa au kubeza kumbe wao hawana uhakika hata na kula yao, ushauri wangu tafuta maeneo yenye masoko makubwa ya nafaka , then angalia namna gani unaweza ku install mashine zako karibu nayo. Manzese kuna masoko ya nafaka pale unaweza kwenda ku survey ili upate picha kamili.

Kila la kheri mpambanaji
 
Uabarikiwe sana mkuu....Asante sana kwa ushauri naufanyia kazi
 
unahitaji eneo la size gani? kupata pembezoni mwa barabara hiyo uliyosema ni ishu sana.

Ila unaweza kupata mita kadhaa kutoka barabarni na hiyo biashara ya Kusaga nafaka inafaa zaidi uswahilini au eneo lenye mchanganyiko wa watu.

Siku hizi viwanda ni vingi sanakikubwa jichanganye hata sehemu yenye viwanda vingine jitofautishe na wengine utapata wateja.

Kama unataka kuuza Jumla tengeneza connection na watu wa maduka ya rejareja uwe unawasambazia tu ni rahisi sana mkuu.

Niliwahi kufanya hii biashara (nilikuwa nafany masoko ) ila nilishaacha udalali ningekusaidia eneo zuri maeneo ya Morogoro Road ila nipo bize sana kwa Kipindi hiki
 
Mkuu unaweza nitafutia wateja wa jumla kwenye unga wa sembe?

Habarini wakuu,

Katika kujitafuta nimefanikiwa kununua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi.Nilikua naomba kama kuna mtu ana eneo sehem yenye mzunguko wa watu wengi au kama kulikua na mashine halaf ikatolewa anijuze ili niweze kuweka hii ya kwangu.

Napendelea maeneo ya Morogoro road kuanzia magomeni hadi kibamba na bagamoyo road kuanzia Moroco hadi Mapinga lengo ni kupata wateja wa jumla na rejareja

Location: Dar es Salaam
Hongera mkuu
Mashine umenunua wapi na bei gani msaada please
 
Back
Top Bottom