Mdogo ake the BOLD
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 510
- 871
Yes kamandaDuh! Kwhy ulinunua mashine kabls hujapata eneo au eneo ulipata wakazingua wenye eneo lao?
Pole sanaYes kamanda
Swali la msingi sanaKwa nini huku tafuta location kwanza kisha ndio ukanunua hiyo mashine?
Majengo mapya yote hayo kariakok lamomy kilemba cha nn? Njoo inbox kwanza tuyajengeHiyo laki 5 ya kodi kwa mwezi, haya tafuta ya kilemba sasa 🤣🤣
Sasa majengo mapya hayo unayo y’a sina unatoa pesa huku ujenzi unaendelea na bado kuna mtu wa kati hapo lazima umtoe…Majengo mapya yote hayo kariakok lamomy kilemba cha nn? Njoo inbox kwanza tuyajenge
lamomy njoo inbox asee. Sina nia mbaya nina mke na mtoto mmoja. Nimpeta doni tunataka frem nikimbize hapo na mm nipige helaSasa majengo mapya hayo unayo y’a sina unatoa pesa huku ujenzi unaendelea na bado kuna mtu wa kati hapo lazima umtoe…
Mbona umejihami sana 😂We
lamomy njoo inbox asee. Sina nia mbaya nina mke na mtoto mmoja. Nimpeta doni tunataka frem nikimbize hapo na mm nipige hela
Lamomy usifanye hivyo Bwana.. any way kesho naenda mwenyewe dadadeki!Mbona umejihami sana 😂
Wewe si mwenyeji kkoo mpk machimbo unayajua!!
Angekuwa na eneo hana mashine waja pia mngesemaDuh! Kwhy ulinunua mashine kabls hujapata eneo au eneo ulipata wakazingua wenye eneo lao?
Ndy maan nikaulizaAngekuwa na eneo hana mashine waja pia mngesema
Pole ya nn sasa??? Kwan nimepata hasara au?? Kwa taarifa yako mashine ninayo muda sanaPole sana