Eneo la kuwekeza kiwanda cha kuzalisha maji kama Uhai na Kilimanjaro

maridadioh

Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
47
Reaction score
20
Habari zenu wadau.

Msaada na mawazo, kuhusu pendekezo la maeneo ya viwanda ndani ya DSM kwa ajili ya kiwanda kidogo cha kusafisha na kupaki maji ya kopo kama mkilimanjaro, uhai n.k.

Kwa ajili ya kuuza maji katikati ya jiji, maomba pendekezo la eneo lisiwe la bei kubwa xna maana bado mjasiriamali mdogo na eneo la viwandani kuepuka kusumbuliwa taasisi kama TFDA na wengneo.

Msaada wenu please.
 
Waungwana keshasema chupa mfano kilimanjaro na uhai ..nahakika hakumaanisha kopo
 
Habari zenu wadau,msaada na mawazo kuhusu pendekezo la maeneo ya viwanda ndani ya DSM kwa ajili ya kiwanda kidogo cha kusafisha na kupaki maji ya kopo kama mkilimanjaro, uhai n.k. kwa ajili ya kuuza maji katikati ya jiji, maomba pendekezo la eneo lisiwe la bei kubwa xna maana bado mjasiriamali mdogo na eneo la viwandani kuepuka kusumbuliwa taasisi kama TFDA na wengneo.

Nenda kigamboni tafuta eneo huko
 
Wadau tupo pamoja, apo namaanisha kuzalisha maji ya chupa kama kilimanja,uhai n.k na eneo kama mjasiriamali nalenga kupunguza transport cost na pia kwa sababu bdo mjasiriamali mdogo nalenga lisilo la ghali xna
 
Nenda kigamboni
 
Pili kwakuongezea, naulizia, kwani kiwanda kidogo lazima kiwe kwenye eneo la ma-viwanda au hata nyumbani kwako kama kuna kijisehemu waweza fanyia kazi?maana ikiwa lazima sehemu za viwandani naona kama ni changamoto kwa wajasiriamali wanaoanza anza, maana sehemu nyingi zilizotengwa huwa zinabei maana watu washazishikilia sana tu
 
Habari zenu wadau.

Msaada na mawazo, kuhusu pendekezo la maeneo ya viwanda ndani ya DSM kwa ajili ya kiwanda kidogo cha kusafisha na kupaki maji ya kopo kama mkilimanjaro, uhai n.k.

Kwa ajili ya kuuza maji katikati ya jiji, maomba pendekezo la eneo lisiwe la bei kubwa xna maana bado mjasiriamali mdogo na eneo la viwandani kuepuka kusumbuliwa taasisi kama TFDA na wengneo.

Msaada wenu please.
kama unawakwepa TFDA inaonekana utatunywesha sumu!
 
Mkuu, apo cmaanishi kuwakwepa TFDA na taasisi zingine namaanisha kupata eneo lililopo maeneo ya viwandani maana nahisi kuweka mtaani naweza sumbuliwa na hizi taasisi na wakataka rushwa na hatimaye faida inaishilia kwenye kuhonga hawa jamaa
 
Back
Top Bottom