Eneo la shamba linauzwa liko Kiluvya Madukani

Eneo la shamba linauzwa liko Kiluvya Madukani

staloneg

Member
Joined
Oct 11, 2009
Posts
39
Reaction score
1
Ndugu zangu wapendwa wanna JF, nina eneo langu la shamba ukubwa wa robo tatu hekari lipo maeneo ya Kiluvya madukani kilometer 1 toka barabara kubwa ya morogoro, kwa maelezo zaidi waweza kuwasiliana nami kwa no. ya simu no.0784599539. bei ni milion 12. maongezi yanaruhusiwa
 
milioni 12 kwa 3/4 heka...ngoja niende nikachukue miwani narudi...
 
Kwa wanaojuwa umuhimu wa ardhi watanunua tu;
ardhi ni mali. Kila la kheri mwaya.
 
Back
Top Bottom