1. Ujenzi wa maduka kwenye eneo la shule , tena shule za umma, hauruhusiwi. Serikali ya kipigaji inaruhusu maana kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yakeMimi ni Mkazi wa Pugu,Ninapokuwa njiani kuelekea kazini/Mjini nilikuwa nikishuhudia kuvunjwa kwa sehemu ya uzio wa shule na ujenzi wa frame za maduka....
Hiyo shule ni ya elimu ya Msingi Pugu Kajiungeni.
1. Je,hili suala ni linaruhusiwa...
2. Kama ni sawa ,mfumo wa uksanyaji pango na faida yake, kisheria unakuwa chini ya taasisi gani?
View attachment 3653476
Na KigamboniHapo unazungumzia Lugalo na Gongo la Mboto
nyegezi kona mwanza piaHapo unazungumzia Lugalo na Gongo la Mboto
Haya yanaondoa sana Hadhi ya JeshiUchumi wa fremu...kila uzio unajengwa fremu hadi uzio wa kambi za jeshi! Enzi hizo tuko wadogo kupita tu kwenye uzio wa jeshi unaogopa leo kunajengwa fremu na bar!
Swali la MsingiKawaida tu,Pamba Sec ya jijini Mwanza wana hayo maframe miaka inafika 20 sasa hapo Mitimirefu tena itakuwa ni PPP ya Bwana Kafulila.
Wazazi hudhurieni vikao shuleni lazima kamati ya shule ambayo inajumuisha wazazi ishatoa maelezo huko.
1.Hakuna sheria inazuia shule au taasis ya elimu ya umma kutokuwa na vitega uchumi.Swali la Msingi
1.Je,inaruhusiwa kisheria...?
2 Je,ni sawa kitaaluma
Kuna shule zipo hivyo ,ukichunguza shule ipo ndani ya eneo la Taasisi mf.Shule ya msingi Mbuyuni.
Eneo ni la Kanisa Katoliki
Sehemu moja kukosea na kufumbiwa macho,haihalalishi jambo halam...