dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,758
- 3,199
Mwaka 2009! Manispaa ya Mji wa dodoma ilitangaza tenda kwa mtu mmoja mmoja kujoteza na kuomba kujenga na kupangisha kibanda cha sokoni (Eneo la Kisasa)!
Mwaka 2013! Mchakato umeisha na sasa watu wanatakiwa waanze kujenga vibanda hivyo kwa ajili ya kufungua hilo soko (June 2013 litafunguliwa)
Kilichojiri kuna jamaa aliomba hiyo tenda lakini yuko nje ya nchi kwa hiyo yeye hawezi tena kulitumia hilo eneo sasa anataka kumuuzia mtu
Unachohitajika kufanya kama unaweza nunua hilo eneo then ukawa napesa za kujenga na kufungua soko kabla ya huo muda eneo lnaweza kukufaa, tuwasiliane zaidi
Kama unahitaji ni PM then nitakupa details za mwisho kwa ajili ya hii kitu