Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Niko naangalia mechi ya Tanzania U23 dhidi ya Nigeria. Kwakweli uwanja uko ovyo sana. Nyasi zimenyofoka nyofoka na kurundikana kama vifurushi. Mpira hauchezeki kabisa. Kwa hali ilivyo tutarajie Derby ya butua butua hiyo kesho.
Meneja wa uwanja ajitathimini.
Meneja wa uwanja ajitathimini.