Ile ziara aliyofanya Ally Mayai baada ya kuchaguliwa ilikuwa ya nini
Shida ya kuyalea mavilabu kongwe yasiyojitambua hata kumiliki viwanja shidaUwanja Umekuwa Hovyo Hovyo
Kwanza Uwanja Haupumziki
Haya ni maneno kabla ya mechi!Kipigo kipo pale pale tunapiga kwenye mshono, hao wanaocheza leo nao ni binadamu
Hilo tatizo sio la Leo hata mechi ya Simba na waangola pitch ilikuwa mbovu halafu saa moja kabla ya mechi wanamwagia maji matokeo uwanja unateleza wachezaji wanaanguka ovyoHali ya hewa ya Dar ni mvua kiasi, na hakuna jua kabisa kiasi cha kukausha ardhi...
Bila Simba na Yanga Uwanja Ungekua Gofu uleShida ya kuyalea mavilabu kongwe yasiyojitambua hata kumiliki viwanja shida
Sisi simba tuna uwanja wetuJengeni viwanja vyenu sasa mnategemea uwanja wa Serikali ili mchezee ligi zenu za hovyo?
Sawa kachezeeni huko kwny pitch yenuSisi simba tuna uwanja wetu
Malalamiko fcHaya ni maneno kabla ya mechi!
Baada ya mechi sasa; kocha fulani hafai! Viongozi wetu hawafai! Timu fulani imehonga waamuzi! Na bla bla nyingine.
Wako bize na mapendekezo ya tume ya nini sijui...! Hakuna anaejali mambo ya uwanja. Nchi nzima tunashindwa kutunza nyasi zenye eneo la ekari moja? We are not serious.Kuna uwezekano mkubwa hiyo pitch ikajengewa miundombinu ya kufunikwa wakati wa mvua..hilo linawezekana kabisa tatizo ni huo ubunifu na uvivu tu
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ni maneno ya huyu jamaa?Haya ni maneno kabla ya mechi!
Baada ya mechi sasa; kocha fulani hafai! Viongozi wetu hawafai! Timu fulani imehonga waamuzi! Na bla bla nyingine.
kha,,,huyu jamaa mbona mikono yake inadamu,kwani vipi kachinja mtu siku za karibuni?