Eneo la Uwanja wa Taifa halifai kwa 'derby' ya kesho

Jengeni viwanja vyenu sasa mnategemea uwanja wa Serikali ili mchezee ligi zenu za hovyo?
Kwa akili yako huo uwanja kama hautatumika na hivyo vilabu utakuwa unajiendeshaje kama unaelewa maana ya sustainability? Au ndio unataka uwe unafanyikia shuguli za kisiasa na misiba ya kitaifa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…