Eneo lenye hatua za miguu 250 kwa120 linaweza kutoa heka ngapi?

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili.

Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu)

Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi.

Karibuni
 
Mkuu fanya hivi
Kila hatua ni mita 1
Miguu 70mx70m=4900sqm
250m x 120m =30000sqm
30000sqm sasa igawe kwa 4900sqm ambayo ni sawa na ekari moja
30000sqm÷49000sqm = 6.122222

Sasa kumbe kwenye hizo mita hapo tuna ekari 6 ✅✅✅✅✅ hesabu ni nzuri sana huu ugonjwa wa taifa wengi wana mbwela hapo juu tu mi naamini niko sahihi mkuu sibahatishi.
 
Hatua
Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili.

Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu)

Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi.

Karibuni
Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili.

Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu)

Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi.

Karibuni
Hatua moja ni futi/mita ngapi? Anzia hapo alafu fanya hesabu. Eneo linahesabiwa kwa mraba tukimaanisha urefu kuzidishwa na upana.
 
Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili.

Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu)

Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi.

Karibuni
Ekari 7.120×250=30000÷4200=7
 
Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili.

Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu)

Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi.

Karibuni
Majibu yote ni ya uongo.

Hizo hatua ulizopiga hatukujui wewe ni mrefu aje, na hatua zako ni ndefu aje. Hizo hatua ulizopiga wewe akija kupima mwengine anaweza kupata vipimo tofauti.

Pili kipimo cha heka sio mita 70 x mita 70, bali mita 64 kwa 64. Hivyo swali lako bado bichi. Kwa sie wataalamu wa hesabu tutasema swali limekosewa, hivyo tupewe free marks.

Rudi upime tena kwa vipimo vya mita.
 
Asante kwa msaada faili nimelifunga jana
 
Back
Top Bottom