Eneo lenye hatua za miguu 250 kwa120 linaweza kutoa heka ngapi?

Mnaosema eka 6, 7 na 5 mnayapata wapi majibu!? Yaani 70x 70 ikupe eka Moja halafu 250x120 ikupe eka 6!?!??

Simple n Clear, katika hivyo vipimo vyako angalia zimo 140 ngapi itakayobaki ni eka 3 naa hiyo itakayobaki.

Naamini hesabu zilikupa tabu saana enzi zako

Jibu kwa makadilio ni acre 6.. au hectares 2.4
 
Hili swali ni wazi Hesabu bado mtihani sana kwa Watanzania wengi tu.

Pili uwezo wetu wa kuelewa mambo bado mdogo sana. Hakuna 70x70 kwenye heka, ni 64 x 64 mita.
 
Naamini hesabu zilikupa tabu saana enzi zako

Jibu kwa makadilio ni acre 6.. au hectares 2.4
Hongera wewe mjuvi wa hesabu. Yaani miguu 70 kwa 70 kupata eneo lake uchukue 70 x 70!? Acheni kukaririshwa mkiwa madarasani, nenda shamba kwenyewe ukaipate elimu sahihi, kuna maeneo mengine huwa yapo ni miguu 90 kwa 50. Hilo nalo unazidisha 90x50!? Kituko hiki.
 
Unajiskiaje wote wana sema eka 6 mkuu we ndo upo eka 3,3+? pamoja we ni mkulima kindaki ndaki?.
Nadhani busara hapa tuelimishane kwa faida ya siku za mbeleni.
1.Kwanza mimi ni mkulima na sio mlimaji,nipo na nafanya full time kilimo biashara
2.Wote wanao sema eka 6 na point wako sahihi na wamepigia hiyo hiyo yako ya miguu 70
3.Unapozalisha mazoa lazima utegemee walaji na lazima wawe na kipato ili waweze nunua hayo mazao kwa hiyo hapa tunategemeana,
4. Hesabu yenyewe ipo hivi
miguu 120 X miguu 250 unapata 30,000 miguu mraba(pande zote 2) ukigawanya kwa miguu 70 upande wa kwanza na miguu 70 upande wa pili unapata mjumuisho wa (70×70) ambao utaingia mara 6.122... ambayo ni sawa na ekari 6 za 70 kwa 70 na kipande cha miguu 25 kwa 25.
NB:Naamini umepata mwanga kwanini ni ekari 6.122 na sio ulizo sema wewe.
Asante
sisi ndio tunakulisheni halafu ndio mnaotudharau haisee....tuna elimu yetu ya kilimo na mazao mbalimbali..
 
Duu wewe ndo umemaliza kabisa,kama hujui si unyamaze,wewe ukiambiwa "ENEO la MRABA" kwa kiiengereza ni "AREA" una elewa nini?.
Hili ni tatizo kubwa sana nchini kwetu.

"
77.89%

Tanzania it has, according to UNESCO, an adult literacy rate of 77.89%. While the male literacy rate is 83.2%, for females is 73.09%, showing a gap between the sexes. In contrast with other neighbouring states is number 112º in the ranking of literacy rate.

"
TAFAKARI
 
Majibu uliyopewa na wahusika ni sawa inategemea sehemu husika, kuna baadhi ya maeneo Eka ni mita 50*50, sehem nyingine Eka ni 60*60 , 70*70
 
Majibu yote ni ya uongo.

Hizo hatua ulizopiga hatukujui wewe ni mrefu aje, na hatua zako ni ndefu aje. Hizo hatua ulizopiga wewe akija kupima mwengine anaweza kupata vipimo tofauti.

Pili kipimo cha heka sio mita 70 x mita 70, bali mita 64 kwa 64. Hivyo swali lako bado bichi. Kwa sie wataalamu wa hesabu tutasema swali limekosewa, hivyo tupewe free marks.

Rudi upime tena kwa vipimo vya mita.
Mleta mada katoa muongozo wa 70*70
 
Mimi ni mkulima hapo pana heka 3.5 au 4 kasoro robo.
kongole mkuu, Hakuna hesabu za vipimi vya miguu... ni meter, km, cm, yard n.k sasa convertion ya miguu kwa meter watu wengine wanaitoa wapi???? kwa hiyo miguu... kweli unaweza kupata hizo ekari 3
 
Majibu yote ni ya uongo.

Hizo hatua ulizopiga hatukujui wewe ni mrefu aje, na hatua zako ni ndefu aje. Hizo hatua ulizopiga wewe akija kupima mwengine anaweza kupata vipimo tofauti.

Pili kipimo cha heka sio mita 70 x mita 70, bali mita 64 kwa 64. Hivyo swali lako bado bichi. Kwa sie wataalamu wa hesabu tutasema swali limekosewa, hivyo tupewe free marks.

Rudi upime tena kwa vipimo vya mita.
Kuna kitu kilikubaliwa kuwa "assumption" na ndiyo imekuwa standard. Kawaida hatua uchukuliwa kuwa meter moja. Kabla ya metric system hatua ilichukuliwa kuwa sawa na yard moja.
 
kongole mkuu, Hakuna hesabu za vipimi vya miguu... ni meter, km, cm, yard n.k sasa convertion ya miguu kwa meter watu wengine wanaitoa wapi???? kwa hiyo miguu... kweli unaweza kupata hizo ekari 3
Amini usiamini wengi wetu tuliopimiwa mashamba na viwanja vijijini miaka ya 70´s na 80 vipimo vilikuwa kwa hatua na hatua ilichukuliwa kama mita moja. ninoyo doc ina stamp za serikari na vipimo vya hatua, na walipokuja TANROADS hizo hatua zimechukuliwa kama meters. Kwamba wakati wa vipimo vya hatua ulikuwa hujazaliwa haimaanishi havikutumiwa.
 
Back
Top Bottom