Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Chukua (250x120) ÷ (70×70) utapata idadiHabari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili.
Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu)
Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi.
Karibuni
Asante sana mkuu nilihangaika sana na hesabu nikapata 6 acres ngoja nisubiri hesabu zaidiChukua (250x120) ÷ (70×70) utapata idadi
Umepigaje hesabu?Ekari 3 na nusu.
Mimi ni mkulima hapo pana heka 3.5 au 4 kasoro robo.Umepigaje hesabu?
Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili.
Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu)
Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi.
Karibuni
Hatua moja ni futi/mita ngapi? Anzia hapo alafu fanya hesabu. Eneo linahesabiwa kwa mraba tukimaanisha urefu kuzidishwa na upana.Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili.
Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu)
Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi.
Karibuni
Ekari 7.120×250=30000÷4200=7Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili.
Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu)
Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi.
Karibuni
EKARI 5 NA KITU KIDOGOHabari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili.
Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu)
Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi.
Karibuni
Majibu yote ni ya uongo.Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili.
Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu)
Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi.
Karibuni
Asante kwa msaada faili nimelifunga janaMajibu yote ni ya uongo.
Hizo hatua ulizopiga hatukujui wewe ni mrefu aje, na hatua zako ni ndefu aje. Hizo hatua ulizopiga wewe akija kupima mwengine anaweza kupata vipimo tofauti.
Pili kipimo cha heka sio mita 70 x mita 70, bali mita 64 kwa 64. Hivyo swali lako bado bichi. Kwa sie wataalamu wa hesabu tutasema swali limekosewa, hivyo tupewe free marks.
Rudi upime tena kwa vipimo vya mita.
Nikajua mwana mahesabu au surveyor kumbe mkulima,Mimi ni mkulima hapo pana heka 3.5 au 4 kasoro robo.
Hongera mkukima ambae hujapita darasaniMimi ni mkulima hapo pana heka 3.5 au 4 kasoro robo.
sisi tunaangalia jua tunajua misimu ya kilimo,tunajua heka ni maguu 70 utatubabaisha nini na elimu yako hiyo,sisi tulisoma kwa vitendo zaidi mguu kwa mguu shambani.Hongera mkukima ambae hujapita darasani
sisi ndio tunakulisheni halafu ndio mnaotudharau haisee....tuna elimu yetu ya kilimo na mazao mbalimbali..Nikajua mwana mahesabu au surveyor kumbe mkulima,
Mimi ni mkulima hapo pana heka 3.5 au
sisi tunaangalia jua tunajua misimu ya kilimo,tunajua heka ni maguu 70 utatubabaisha nini na elimu yako hiyo,sisi tulisoma kwa vitendo zaidi mguu kwa mguu shambani.
Kasome story ya kaini na abel,huyu mkulima huyu mfugajisisi ndio tunakulisheni halafu ndio mnaotudharau haisee....tuna elimu yetu ya kilimo na mazao mbalimbali..