Mnaosema eka 6, 7 na 5 mnayapata wapi majibu!? Yaani 70x 70 ikupe eka Moja halafu 250x120 ikupe eka 6!?!??
Simple n Clear, katika hivyo vipimo vyako angalia zimo 140 ngapi itakayobaki ni eka 3 naa hiyo itakayobaki.
Hongera wewe mjuvi wa hesabu. Yaani miguu 70 kwa 70 kupata eneo lake uchukue 70 x 70!? Acheni kukaririshwa mkiwa madarasani, nenda shamba kwenyewe ukaipate elimu sahihi, kuna maeneo mengine huwa yapo ni miguu 90 kwa 50. Hilo nalo unazidisha 90x50!? Kituko hiki.Naamini hesabu zilikupa tabu saana enzi zako
Jibu kwa makadilio ni acre 6.. au hectares 2.4
sisi ndio tunakulisheni halafu ndio mnaotudharau haisee....tuna elimu yetu ya kilimo na mazao mbalimbali..
sisi ndio tunakulisheni halafu ndio mnaotudharau haisee....tuna elimu yetu ya kilimo na mazao mbalimbali..
Duu wewe ndo umemaliza kabisa,kama hujui si unyamaze,wewe ukiambiwa "ENEO la MRABA" kwa kiiengereza ni "AREA" una elewa nini?.Hongera wewe mjuvi wa hesabu. Yaani miguu 70 kwa 70 kupata eneo lake uchukue 70 x 70!? Acheni kukaririshwa mkiwa madarasani, nenda shamba kwenyewe ukaipate elimu sahihi, kuna maeneo mengine huwa yapo ni miguu 90 kwa 50. Hilo nalo unazidisha 90x50!? Kituko hiki.
Katoka wapi huyu nae?Ekari 7.120×250=30000÷4200=7
Mleta mada katoa muongozo wa 70*70Majibu yote ni ya uongo.
Hizo hatua ulizopiga hatukujui wewe ni mrefu aje, na hatua zako ni ndefu aje. Hizo hatua ulizopiga wewe akija kupima mwengine anaweza kupata vipimo tofauti.
Pili kipimo cha heka sio mita 70 x mita 70, bali mita 64 kwa 64. Hivyo swali lako bado bichi. Kwa sie wataalamu wa hesabu tutasema swali limekosewa, hivyo tupewe free marks.
Rudi upime tena kwa vipimo vya mita.
2.7Habari Jf. Naomba msaada wa kimahesabu ili nipate data kamili.
Endapo kipimo cha heka kikiwa 70*70 (hatua za miguu)
Je eneo lenye hatua 250 kwa 120 litatoa ekari ngapi.
Karibuni
kongole mkuu, Hakuna hesabu za vipimi vya miguu... ni meter, km, cm, yard n.k sasa convertion ya miguu kwa meter watu wengine wanaitoa wapi???? kwa hiyo miguu... kweli unaweza kupata hizo ekari 3Mimi ni mkulima hapo pana heka 3.5 au 4 kasoro robo.
Kuna kitu kilikubaliwa kuwa "assumption" na ndiyo imekuwa standard. Kawaida hatua uchukuliwa kuwa meter moja. Kabla ya metric system hatua ilichukuliwa kuwa sawa na yard moja.Majibu yote ni ya uongo.
Hizo hatua ulizopiga hatukujui wewe ni mrefu aje, na hatua zako ni ndefu aje. Hizo hatua ulizopiga wewe akija kupima mwengine anaweza kupata vipimo tofauti.
Pili kipimo cha heka sio mita 70 x mita 70, bali mita 64 kwa 64. Hivyo swali lako bado bichi. Kwa sie wataalamu wa hesabu tutasema swali limekosewa, hivyo tupewe free marks.
Rudi upime tena kwa vipimo vya mita.
Amini usiamini wengi wetu tuliopimiwa mashamba na viwanja vijijini miaka ya 70´s na 80 vipimo vilikuwa kwa hatua na hatua ilichukuliwa kama mita moja. ninoyo doc ina stamp za serikari na vipimo vya hatua, na walipokuja TANROADS hizo hatua zimechukuliwa kama meters. Kwamba wakati wa vipimo vya hatua ulikuwa hujazaliwa haimaanishi havikutumiwa.kongole mkuu, Hakuna hesabu za vipimi vya miguu... ni meter, km, cm, yard n.k sasa convertion ya miguu kwa meter watu wengine wanaitoa wapi???? kwa hiyo miguu... kweli unaweza kupata hizo ekari 3
Mkuu, hii ni hesabu gani?Ekari 7.120×250=30000÷4200=7