Eneo lenye jua kali kama hili inafaa kuwekeza kwenye nini?



Ili eneo najua hauji kuja @@labda utuletee bongo movie or Bollwood
 
Wekeza kwenye cold rooms , sehemu za joto kali. Changamoto ya kwanza inakuwa kwenye kutunza perishqbles
 
Lazima itengenezwe solar enegry saving, sijui kama ipo...
Mwanga na ukali wa jua hauwezi kupita kizembe tu, hapo tutakoa baadhi ya units toka kwa tanesco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…