Eneo lenye jua kali kama hili inafaa kuwekeza kwenye nini?

Eneo lenye jua kali kama hili inafaa kuwekeza kwenye nini?

Wekeza kwenye cold rooms , sehemu za joto kali. Changamoto ya kwanza inakuwa kwenye kutunza perishqbles
Upo sahihi inabidi iongeze na uwekezaji wa


1. Ufukweni mwa bahari
2. Hoteli za kifahari
3. Migahawa
4. Lounge
5. Nightclub
6. Bustani za mapumziko
7. Spa na sehemu za massage
8. Kando ya ziwa
9. Milimani
10. Maporomoko ya maji
11. Visiwa vya kitalii
12. Mabwawa ya kuogelea
13. Viwanja vya burudani
14. Sinema
15. Baa
16. Kumbi za muziki na dansi
17. Resorts za kitalii
18. Nyumbani
19. Kambi za utalii na mazingira ya asili
20. Sehemu za picnic
 
Pia uuzaji miche ya miti ya kivuli au uuzaji maji ya barafu, unaweza pia kujenga Bafu za kuoga kando ya barabara na swimming pools.
Upo sahihi inabidi niwekeze pia kuongeza maarifa


1. Shuleni
2. Vyuo vikuu
3. Maktaba
4. Mtandaoni (Internet)
5. Makumbusho
6. Vituo vya utafiti
7. Semina na makongamano
8. Warsha za mafunzo
9. Vituo vya mafunzo ya ufundi
10. Kanisani
11. Msikitini
12. Vituo vya mafunzo ya kompyuta
13. Madarasani ya ziada
14. Maduka ya vitabu
15. Vituo vya habari
16. Redio
17. Televisheni
18. Makampuni na sehemu za kazi
19. Mazungumzo na watu wenye uzoefu
20. Maeneo ya kihistoria na urithi wa utamaduni
 
Upo sahihi inabidi niwekeze pia kuongeza maarifa


1. Shuleni
2. Vyuo vikuu
3. Maktaba
4. Mtandaoni (Internet)
5. Makumbusho
6. Vituo vya utafiti
7. Semina na makongamano
8. Warsha za mafunzo
9. Vituo vya mafunzo ya ufundi
10. Kanisani
11. Msikitini
12. Vituo vya mafunzo ya kompyuta
13. Madarasani ya ziada
14. Maduka ya vitabu
15. Vituo vya habari
16. Redio
17. Televisheni
18. Makampuni na sehemu za kazi
19. Mazungumzo na watu wenye uzoefu
20. Maeneo ya kihistoria na urithi wa utamaduni
Yeah. Mjasiriamali makini huangalia changamoto zilizopo kisha anaangalia uwezekano wa kuzigeuza changamoto hizo kuwa ni Fursa.
 
Back
Top Bottom