Upo sahihi inabidi iongeze na uwekezaji waWekeza kwenye cold rooms , sehemu za joto kali. Changamoto ya kwanza inakuwa kwenye kutunza perishqbles
Upo sahihi inabidi niwekeze pia kuongeza maarifaPia uuzaji miche ya miti ya kivuli au uuzaji maji ya barafu, unaweza pia kujenga Bafu za kuoga kando ya barabara na swimming pools.
Yeah. Mjasiriamali makini huangalia changamoto zilizopo kisha anaangalia uwezekano wa kuzigeuza changamoto hizo kuwa ni Fursa.Upo sahihi inabidi niwekeze pia kuongeza maarifa
1. Shuleni
2. Vyuo vikuu
3. Maktaba
4. Mtandaoni (Internet)
5. Makumbusho
6. Vituo vya utafiti
7. Semina na makongamano
8. Warsha za mafunzo
9. Vituo vya mafunzo ya ufundi
10. Kanisani
11. Msikitini
12. Vituo vya mafunzo ya kompyuta
13. Madarasani ya ziada
14. Maduka ya vitabu
15. Vituo vya habari
16. Redio
17. Televisheni
18. Makampuni na sehemu za kazi
19. Mazungumzo na watu wenye uzoefu
20. Maeneo ya kihistoria na urithi wa utamaduni
Umeme wa juaEneo lenye jua kali kama hili inafaa kuwekeza kwenye nini?
Wabunifu na wafanyabiashara wa JF tusaifieni
View attachment 3689820
Exactly. Ukijikita kwenye drip irrigation utapiga sana.Kilimo. Cha Jua kitafaa sana