INAUZWA Eneo lenye nyumba linauzwa

INAUZWA Eneo lenye nyumba linauzwa

JMWAKA

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
739
Reaction score
652
Salaam humu ndani
Nawaletea eneo lenye nyumba ambayo imefikia kwenye linta imebaki kupiga kenchi tu eneo ni kituo kipya loliondo kibaha maili moja ukubwa Wa eneo ni square meter 25x20 bei yake ni milioni 20

Kwa mawasiliano

Pia Kiwanja kinauzwa kipo Jirani Na Kifuru stand ya kwenda mbezi vipo viwili jumla square meter 60 bei milioni 16
FB_IMG_1532930002337.jpg
FB_IMG_1532929994227.jpg
FB_IMG_1532929989579.jpg
FB_IMG_1532929985375.jpg
FB_IMG_1532929979431.jpg
FB_IMG_1532929974932.jpg
FB_IMG_1532929970563.jpg
FB_IMG_1532929961639.jpg
 
Salaam humu ndani
Nawaletea eneo lenye nyumba ambayo imefikia kwenye linta imebaki kupiga kenchi tu eneo ni kituo kipya loliondo kibaha maili moja ukubwa Wa eneo ni square meter 25x20 bei yake ni milioni 20

Kwa mawasiliano 0658183618

Pia Kiwanja kinauzwa kipo Jirani Na Kifuru stand ya kwenda mbezi vipo viwili jumla square meter 60 bei milioni 16
mkuu hapa umeniacha... ina maana kiwanja kina weza kikawa 2*30=60 au 3*20=60 mkuu ufafanuzi kidogo
 
Boma sio nyumba. Hivi unataka kutuambia hiyo Ni nyumba jamani duh
 
mkuu hapa umeniacha... ina maana kiwanja kina weza kikawa 2*30=60 au 3*20=60 mkuu ufafanuzi kidogo
Kwa upande Wa viwanja vilivyopo kifuru-tabata ni viwili vinauzwa Kwa pamoja kimoja kipo mbele barabarani kingine nyuma take cha mbele ni 20x20 plus 5 meter ziada Na cha nyuma kimepinda marefu upande mmoja ni 30 meter mwingine 28 mapana 27 upande mwingine 22 meter

Vyote bei milioni 16 hakuna malipo mengine serikali ya mtaa 10 percent anaitoa yeye muuzajj
 
Soma maelezo yake vzr.
Cha msingi ni eneo ambalo pia nyumba IPO Na INA vyumba vinne kimoja master Sebule kubwa Na parking ya gari ndani ya nyumba ipo .... Unaweza kuvunja kuweka design yako unayotaka au kuimalizia hiyo iliyopo
 
Back
Top Bottom