Acheni usenge mnaharibu biashara za watu kenge huna hela kaa kimyaYaani mambo ya hovyo upuuzi mtupu yaan mtu dalali darasa la saba ndio anapanga bei
Nunua yako jenga yako kisha uiuze afu 5Ardhi na nyumba ziko overpriced Tanzania sijui kwanini🙆♂️
Ubungo Kibangu njia ya kwenda Makoka hapo ni mitaa ya Ubungo Kisiwani,Watu wameamua kuuza eneo lao wengine wanapanik.
Hii kali.
Jina la mtaa linapopatikana eneo ?
Kisiwani karibu na kwa mzee wangu Magomba au ?Ubungo Kibangu njia ya kwenda Makoka hapo ni mitaa ya Ubungo Kisiwani,
We dalali mbona sukari iko juu sana🙄Nunua yako jenga yako kisha uiuze afu 5
Hizi sio biashara bwana,Ni Utapeli Utapeli Tu Mwingi.Hivi wewe unapoona mtu anataja BEI Milioni 450 kwa eneo ambalo ni sqm 650 inamaana kila sqm anauza 685,000.Hio thmani ya ardhi inatoka wapi?Kwamba Inatoka Hewani ama? Wizara ya Ardhi Eti Hawa Madalali wa Ardhi kodi mnazowatoza zinaendana na Bei wanazotaja huku au Ndio Ardhi inatumika kufanya utakatishaji wa fedha?Acheni usenge mnaharibu biashara za watu kenge huna hela kaa kimya
Wahuni tu hawa wanweka mazingira ya kutakatisha fedha haramu.Nyumba ya kuvunja ndio nyumba ya aina gani huko mjini daslam?
Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa.
Mahali: Ubungo Kibangu.
Eneo liko mita 100 kutoka barabara ya mandela, mita 2 kutoka barabara ya Makoka.
Nyumba iliyoko ndani ya eneo ina vyumba 26, mbele ina fremu 4 za biashara.
Ukubwa wa Eneo: SQM 626.
Bei: Tzs 450M. Mazungumzo yanaruhusiwa.
Nyaraka: Hatimiliki.
Kwa maelezo zaidi na kuweza kuona wasiliana nasi.
Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807
@prathrealestate
Vyumba 26 na fremu 4 kama kifungashio. Panafaa sana hostel hapo.Duuh aisee ila Tanzania watu wanajiamulia mambo daaah 450M