Eneo Lenye nyumba ya Kuvunja Linauzwa Ubungo Kibangu

450M ninu ue nyumba ubungo kibangu? aha ha ha ha 😂 😆 🤣 bora kuanzisha kiwanda kidogo huko pwani heka moja 10M eneo zuri kabisa

Wabongo tuache ujambazi
 
Ukimwambia aandike hapa hicho Kiwanja kwa Sqmtr moja anauza bei gani? yeye mwenyewe ataona aibu kuiandika hapa, ila haoni shida kutamka 450m. Hiyo hela ukienda nayo Bunju unamvua mtu mwenye 1600sqmtr na unatandaza Vila yako ya Maana. Unless labda uniambie umedhamiria kuisha karibu na mji, tena sehem yenyewe inambanano kama vile uko Kwa Mnyamani au Mchafuoge. Najaribu kupambanua tu.
 
Ardhi na nyumba ziko overpriced Tanzania sijui kwanini🙆‍♂️
Ukisema wanatokana. Hakuna biashara ni uwizi sasa ardhi ya Tanzania iwe gali kuliko USA ???? UPUUZI TUU
 
Hahaha madalali wa bongo wanavunja sana mioyo ya watu kununua vitu kitu cha m 1 wao wanaweka m 7,5 yaan upigaji tu
 
... ameamua kuweka bei ambayo mnunuzi hatokaa auze tena hata baada ya miaka 50!

Inasaidia kuzuia matapeli kuiacha baada ya muda mfupi miaka mitatu minne naye anauza tena kwa hela ndefu!

Bei iliyowekwa ni final hadi kiyama ya wafu ukinunua una nia kweli ya kuwekeza na sio "kuizungusha" 🤣🤣🤣 radhiya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…