johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu unaona raha kuanzisha thread? Huwa huoni hata aibu? Au kuna malipo unayapata kwa kuanzisha thread?Haya ni maendeleo makubwa kwa wananchi kuanza kuelewa maana ya hatari na kuikimbia badala ya kuikimbilia.
Mwaka 1998 ulipolipuliwa ubalozi wa Marekani eneo hilo hilo alilokuwa anatamba Hamza jana wananchi kutoka maeneo ya jirani walikuwa wanakimbilia eneo la tukio kadri milipuko ilipoongezeka ili kushuhudia kwa macho yao.
Jana ilikuwa tofauti maana hata madereva waliacha magari yao na kukimbilia kusikojulikana.
Labda ni kwa sababu ya teknolojia.
Mungu ni mwema wakati wote!
Aise tukio hilo nna historia ndefu sanaHaya ni maendeleo makubwa kwa wananchi kuanza kuelewa maana ya hatari na kuikimbia badala ya kuikimbilia.
Polisi wajifunze kutenda hakiHAMZA ANA AKILI SANA HAKUWA NA SHIDA NA RAIA,ALIKUWA NA WAGOMVI WAKE