Plot4Sale Eneo linauzwa Dodoma mjini, sqm 833 wekeza katika ardhi utanishukuru baadae.

Plot4Sale Eneo linauzwa Dodoma mjini, sqm 833 wekeza katika ardhi utanishukuru baadae.

africatuni

Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
77
Reaction score
197
Hellow hope everyone is good. Leo nawaletea fursa ya kuwekeza dodoma. Hakuna uwekezaji mzuri kama wa ardhi maana kila siku inapanda thamani ukilinganisha na kuhifadhi fedha bank.

Dodoma ni mji ambao unakua kila siku ambao wapo huku wanaelewa. Na ardhi zinapanda bei kwa kasi sana, hivyo wakati wa kuwekeza ni sasa.

Nauza Kiwanja changu kina Sqm 833, umbali wa 12km toka city centre.
kipo karibu sana na Benjamin mkapa Hospital na College of education-UDOM.

Mtaa huu ni mzuri sana kwa ujenzi wa Hosteli au appartment za wanafunzi na wafanyakazi. Benjamin mkapa wameanzisha chuo cha radiology mwaka jana na hawana hosteli hivyo wanafunzi wengi wanatafuta mtaani. Lakini pia kuna interns (madaktari watarajali) na wafanyakazi wapya wanakuja kila mwaka. Bei ya vyumba single ni kuanzia 50-70k na master 80-120k kulingana na ubora wa nyumba.

Eneo lina surveyor form. Mteja tunakubadilishia jina linasoma lako kwenye mfumo.
20250407_120506.jpg

Kiwanja hiki👆 no 865 sqm 833 cha Makazi.
20250405_144948.jpg

Bikoni zote zipo.👆

20250405_145124.jpg

Majengo ya Collage of education UDOM.👆
20250405_144823.jpg

Jengo la Benjamin mkapa hospital 👆
20250405_145030.jpg

Baadhi ya nyumba za kupangisha zinaonekana👆
20250405_144844.jpg

Eneo ni tambarare na nguzo ya umeme👆 na maji vipo site.

Mteja serious tuwasiliane kwa No: +255753233879 nikupeleke site tuzungumze.
Bei ni 10.5m hakuna mtu kati.
 
Back
Top Bottom