Plot4Sale Eneo linauzwa Dodoma mjini

Plot4Sale Eneo linauzwa Dodoma mjini

Prince Mujubu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
340
Reaction score
249
Hiko cha kwenye msingi wa jiwe
Chenye bamba 1129
Hicho ktkt ya hiyo duara
Ukubwa sqm 611
Ni km 3 tu kutoka City Centre(katikati ya jiji)
Kipo mtaa wa Chinyoya kata ya kilimani Dodoma mjini
Price: 6 million (negotiable)
Contact ; 0715354693 au 0759395908
IMG-20200927-WA0004.jpg
IMG-20200927-WA0000.jpg
IMG-20200927-WA0005.jpg
IMG-20200927-WA0002.jpg
IMG-20200927-WA0003.jpg
 
Duh! Jiji la Dodoma lina maajabu yake! Yaani Km.3 kutoka City Centre ndiyo pako hivyo! Hakuna dalili ya uwepo wa nguzo za umeme, barabara inayo eleweka, maji ya Duwasa, nk. Au ni macho yangu tu!!

Anyway, nakutakia kila la heri katika biashara yako.
 
Haha dodoma mji ni mdogo sana ukitoka nje kidogo tu ni vijiji
 
Dodoma ni mji mdogo ndugu.
Anyway hayo maeneo kilipo hicho kiwanja eneo kama mita 300 hivi kutoka iringa road kuna tank la maji la duwasa so maji yko around mkuu hayako mbali hata nguzo za umeme hazipo mbali soon zinafika
 
Asante sana kwa huu ufafanuzi wako uliokwenda shule. Nina imani utakiuza hicho kiwanja mapema sana.

Bei yako ya kuuza pia ni rafiki na bado umeweka mlango wa mazungumzo.
 
Haha dodoma mji ni mdogo sana ukitoka nje kidogo tu ni vijiji

Kwa hali hiyo magufuli hana sababu ya kufanya kampeni Dodoma. Kwa kuifanya tu kuwa Jiji, hakika Wagogo watampa kura za kishindo kama ilivyo desturi yao kuichagua ccm.
 
Hiko cha kwenye msingi wa jiwe
Chenye bamba 1129
Hicho ktkt ya hiyo duara
Ukubwa sqm 611
Ni km 3 tu kutoka City Centre(katikati ya jiji)
Kipo mtaa wa Chinyoya kata ya kilimani Dodoma mjini
Price: 6 million (negotiable)
Contact ; 0715354693 au 0759395908
View attachment 1588783View attachment 1588785View attachment 1588787View attachment 1588788View attachment 1588789
Kweli mikoani ni mikoani tu. Yaani utoke 3.5km from City Center ndo pawe Chaka namna hiyo? Kwa Dar ukitoka City Center mpaka 20km Ni full nyomi, labda uendee upande wa kigamboni ndo kwa mbaaali kuko scattered.
 
Mkuu Ni upande huo tu ...huko Ni mawe na majabali CDA walioaacha watu walikuwa wabagawana tu ardhi...Ni kweli Ni karibu Sana The so called City Center!
 
Duh! Jiji la Dodoma lina maajabu yake! Yaani Km.3 kutoka City Centre ndiyo pako hivyo! Hakuna dalili ya uwepo wa nguzo za umeme, barabara inayo eleweka, maji ya Duwasa, nk. Au ni macho yangu tu!!

Anyway, nakutakia kila la heri katika biashara yako.

Ukitokea posta ukavuka Kigamboni 3 Km nn?
Ukitokea Arusha Clock tower 3Km nini?
 
huko juu ya ntuyka mi nasema na ukame wote bado ukiwa na pesa umejenga na umepanda miti ya vivuli still sio pabaya dodoma, shida ni chapaa.
 
Duh! Jiji la Dodoma lina maajabu yake! Yaani Km.3 kutoka City Centre ndiyo pako hivyo! Hakuna dalili ya uwepo wa nguzo za umeme, barabara inayo eleweka, maji ya Duwasa, nk. Au ni macho yangu tu!!

Anyway, nakutakia kila la heri katika biashara yako.
Asiyeijua Dodoma ataongea kama ulivyoongea wewe ila kuna mdau #11 kaeleza vizuri kwa nini sehemu hiyo iko hivyo
 
Mbona kama ilo pagara la pembeni limepigwa X BOMOA . ??
 
Back
Top Bottom