Prince Mujubu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 340
- 249
Haha dodoma mji ni mdogo sana ukitoka nje kidogo tu ni vijijiDuh! Jiji la Dodoma lina maajabu yake! Yaani Km.3 kutoka City Centre ndiyo pako hivyo! Hakuna dalili ya uwepo wa nguzo za umeme, barabara inayo eleweka, maji ya Duwasa, nk. Au ni macho yangu tu!!
Anyway, nakutakia kila la heri katika biashara yako.
Dodoma ni mji mdogo ndugu.Duh! Jiji la Dodoma lina maajabu yake! Yaani Km.3 kutoka City Centre ndiyo pako hivyo! Hakuna dalili ya uwepo wa nguzo za umeme, barabara inayo eleweka, maji ya Duwasa, nk. Au ni macho yangu tu!!
Anyway, nakutakia kila la heri katika biashara yako.
Dodoma ni mji mdogo ndugu.
Anyway hayo maeneo kilipo hicho kiwanja eneo kama mita 300 hivi kutoka iringa road kuna tank la maji la duwasa so maji yko around mkuu hayako mbali hata nguzo za umeme hazipo mbali soon zinafika
Haha dodoma mji ni mdogo sana ukitoka nje kidogo tu ni vijiji
Thanks BroAsante sana kwa huu ufafanuzi wako uliokwenda shule. Nina imani utakiuza hicho kiwanja mapema sana.
Bei yako ya kuuza pia ni rafiki na bado umeweka mlango wa mazungumzo.
Another man poison is another man food.Kukame huko
Kweli mikoani ni mikoani tu. Yaani utoke 3.5km from City Center ndo pawe Chaka namna hiyo? Kwa Dar ukitoka City Center mpaka 20km Ni full nyomi, labda uendee upande wa kigamboni ndo kwa mbaaali kuko scattered.Hiko cha kwenye msingi wa jiwe
Chenye bamba 1129
Hicho ktkt ya hiyo duara
Ukubwa sqm 611
Ni km 3 tu kutoka City Centre(katikati ya jiji)
Kipo mtaa wa Chinyoya kata ya kilimani Dodoma mjini
Price: 6 million (negotiable)
Contact ; 0715354693 au 0759395908
View attachment 1588783View attachment 1588785View attachment 1588787View attachment 1588788View attachment 1588789
Mkuu Ni upande huo tu ...huko Ni mawe na majabali CDA walioaacha watu walikuwa wabagawana tu ardhi...Ni kweli Ni karibu Sana The so called City Center!Kweli mikoani ni mikoani tu. Yaani utoke 3.5km from City Center ndo pawe Chaka namna hiyo? Kwa Dar ukitoka City Center mpaka 20km Ni full nyomi, labda uendee upande wa kigamboni ndo kwa mbaaali kuko scattered.
Duh! Jiji la Dodoma lina maajabu yake! Yaani Km.3 kutoka City Centre ndiyo pako hivyo! Hakuna dalili ya uwepo wa nguzo za umeme, barabara inayo eleweka, maji ya Duwasa, nk. Au ni macho yangu tu!!
Anyway, nakutakia kila la heri katika biashara yako.
Msalimie side mkuu.Hiko cha kwenye msingi wa jiwe
Chenye bamba 1129
Hicho ktkt ya hiyo duara
Ukubwa sqm 611
Ni km 3 tu kutoka City Centre(katikati ya jiji)
Kipo mtaa wa Chinyoya kata ya kilimani Dodoma mjini
Price: 6 million (negotiable)
Contact ; 0715354693 au 0759395908
View attachment 1588783View attachment 1588785View attachment 1588787View attachment 1588788View attachment 1588789
Asiyeijua Dodoma ataongea kama ulivyoongea wewe ila kuna mdau #11 kaeleza vizuri kwa nini sehemu hiyo iko hivyoDuh! Jiji la Dodoma lina maajabu yake! Yaani Km.3 kutoka City Centre ndiyo pako hivyo! Hakuna dalili ya uwepo wa nguzo za umeme, barabara inayo eleweka, maji ya Duwasa, nk. Au ni macho yangu tu!!
Anyway, nakutakia kila la heri katika biashara yako.
Nipo dar now mkuu salam zitamfikia next weekMsalimie side mkuu.