Plot4Sale Eneo linauzwa Dodoma mjini

Plot4Sale Eneo linauzwa Dodoma mjini

HOPECOMFORT

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
3,921
Reaction score
6,646
[emoji3591]Wadau habari za jioni
Eneo linauzwa Dodoma mjini...maeneo ya kikuyu South extension.
[emoji3591]Eneo lina square mitre 373
[emoji3591]Lipo karibu kabisa na station ya treni ya mwendo kasi
[emoji3591] Kutoka eneo lilipo na barabara ya lami (iringa road) ni mita 100
[emoji3591]Bei 9,500,000
[emoji3591] Mawasiliano zaidi inbox tafadhali.

IMG_20220313_113747.jpg
 
Madalali wenzio Instagram wanauza hili eneo 8.8million haya kila la kheri
 
Back
Top Bottom