Habari wana JF nauza eneo lipo michese dodoma KM 6 kutoka soko la majengo miundo mbinu iko mizuri.
ukubwa wa eneo ni sqm 2162 au tulio zoea hatua ni miguu 57 kwa 52.
bei milioni 4
karibu PM wanunuzi.
Tangazo safi sana ila ongezea na ka picha kidogo, elezea miundo mbinu ipi ipo hapo na hasa hasa barabara kuu, Michesse ni wapi au ni mwelekeo upi toka Dodoma mjini. je maelewano ya malipo yapo au hakuna? kwa kifupi wengine tupo huku Nangwanda lakini tunakihitaji kiwanja hicho