Collinsteve
Member
- Mar 19, 2019
- 88
- 48
Uwe unasoma mpaka mwisha ndugu.Kilomita ngapi kutoka morogoro road
Nina hati ya mauziano serikari ya Mata but ukihitaji hilo nitakusaidia nikupandie mawe zen upate hatiUna Hati ya hilo eneo ndugu??kama una Hati ya Wizara ya Ardhi tufanye biashara
bila Hati mmmhhhhhNina hati ya mauziano serikari ya Mata but ukihitaji hilo nitakusaidia nikupandie mawe zen upate hati
kila kitu kiko wazi kama muhitaji utanunuabila Hati mmmhhhhh
Mkuu fanya mpango eneo lipimwe , liwekwe beacons na mchakato wa hati uanze hizo karatasi za serikali ya mtaa hazina msaada wowote coz hawa wenyeviti na watendaji kila siku wanahamishwakila kitu kiko wazi kama muhitaji utanunua
Wwe unazani eneo lingekua na Hati asingeuuza bei hiyo ya M 18, ingekua juu zaidi ya hiyo 18!!bila Hati mmmhhhhh
kabisa mzeeWwe unazani eneo lingekua na Hati asingeuuza bei hiyo ya M 18, ingekua juu zaidi ya hiyo 18!!
Watu wanasisitiza sana hati, nafikiri ndio lingeuzika haraka hata kwa bei ya juu kuliko hii unayoinadikaribuni sana
uwezo wa kufuatilia hati sina nina shida now. atakaye chukua namuunganisha na wanaopanda mawe pale serikali ya mtaa na atapata hatiWatu wanasisitiza sana hati, nafikiri ndio lingeuzika haraka hata kwa bei ya juu kuliko hii unayoinadi