bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 1,080
- 2,143
upimaji wa ardhi hauko rahisi kama unavyosema hapo, cha msingi uza eneo kama lilivyo ila usipotoshe kuwa mawe yakipandwa hati inapatikana.uwezo wa kufuatilia hati sina nina shida now. atakaye chukua namuunganisha na wanaopanda mawe pale serikali ya mtaa na atapata hati