Plot4Sale Eneo linauzwa mil. 18 nusu heka lina boma, Kibaha

uwezo wa kufuatilia hati sina nina shida now. atakaye chukua namuunganisha na wanaopanda mawe pale serikali ya mtaa na atapata hati
upimaji wa ardhi hauko rahisi kama unavyosema hapo, cha msingi uza eneo kama lilivyo ila usipotoshe kuwa mawe yakipandwa hati inapatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…