Plot4Sale Eneo linauzwa - mlandizi

Plot4Sale Eneo linauzwa - mlandizi

WINCH

Member
Joined
May 3, 2016
Posts
71
Reaction score
23
Habari za asubuhi,

Eneo Heka 2 linauzwa, imejengwa nyumba ambayo yenye vyumba viwili vya kulala na sebule pamoja na bafu ndani (haijaezekwa).

Mahali: Kikongo - km 9 kutoka Mlandizi stand ukiwa unaenda Mzenga

Bei: Milion 8.0 (Neg.)

Eneo linafaa kwa ufugaji na kulima bustan au mazao yoyote yale. Bwawa liko Mita 300 halikauki.
Lina miti ya mikorosho saba.

upload_2017-10-24_10-1-19.png

upload_2017-10-24_10-1-41.png



Kama uko interested nipm

Ahsanteni.
 

Attachments

  • upload_2017-10-24_10-2-5.png
    upload_2017-10-24_10-2-5.png
    353.5 KB · Views: 54
  • upload_2017-10-24_10-2-27.png
    upload_2017-10-24_10-2-27.png
    363.9 KB · Views: 50
Back
Top Bottom