Eneo maskini na hatari kuliko yote Marekani.......

Hapa bongo dsm ni kama kitongoji kipi?
Yan marekani na uwezo woote ule, wizi wote ule, kujitia kumwaga mihela nchi zingine imeshindwa kumwaga mahela hapo kwa kuvunja na kujenga majumba mazuri, kuwekeza mitaji kwa watu hapo waendelee!
Ndio hio camden ss
 
sam wa ukweli aliimbaga wimbo waaana kweli...

wenye majungu na wachawi sio kwenu tu hata kwetu wapo... kila unaloliona hapa bongo hata huko lipo
 
Sasa mbona wanaenda nchi za wengine kutatua migogoro.......wakati wanayo ya kwao......
Hizo sehemu lazima black America watakuwa wengi,nigers wengi ni uncivilized na ni primitive sana kama wazulu,,muulize lemutuz atakwambia anawajua sana nigers
 
Ila wenzetu wametuacha mbali...hapo ndo maskini wa kutupwa?
yaani hapo ndio kitovu haswa cha watu maskin ndani ya America. hapo ni choka mbaya kabisa kabisa, apartment ni kama dola 1000,ambapo ni kama milion mbili na ushee kwa mwezi mmoja
 
Sasa mbona wanaenda nchi za wengine kutatua migogoro.......wakati wanayo ya kwao......
Wazungu wanavyoenda kujifanya wanatatua mambo, sio kweli wanatatua wana malengo yao. Kufanya uchunguzi na Research ya sehemu usika
 
HUKO KAMA MANZESE AISEEE ...DAAHH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…