Eneo maskini na hatari kuliko yote Marekani.......

HAPO KWENYE PICHA KUNA MWAMBA MMOJA KAMA RICK ROSS HIVI ANAMFUKUZA ASKARI HALAFU WATOTO WA MBWA WAMEKAA JUU YA UKUTA....... naona hapo askari amefyata maana alikuwa anakimbiza hao watoto wa mbwa huyo mwamba madevu kaja kumdhibiti.
 
Camden sawa na dar es salaam pale mjini kabisa palivyo[emoji41][emoji41][emoji41]

[emoji85][emoji85][emoji85] ila kwa marekani ni kijijini[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani haendi sehemu isiyo na maslahi!!
 
Sasa mbona wanaenda nchi za wengine kutatua migogoro.......wakati wanayo ya kwao......
Hakuna maslahi hapo? Kuna madi?
Vipi misitu
Maliasili gani wanamiliki?
Zaidi ya soko. La drugs
 
yaani hapo ndio kitovu haswa cha watu maskin ndani ya America. hapo ni choka mbaya kabisa kabisa, apartment ni kama dola 1000,ambapo ni kama milion mbili na ushee kwa mwezi mmoja
Ndo. Masikini hao.wakati hapo. Kwetu matajiri ndo wanalipa hizo kodi
 
Kuna maeneo masikini kuliko hilo ndani ya marekani mkuu!! Mfano eneo lijulikanalo kama Kiryas lililopo ndani ya New York ndilo linalotajwa kama eneo masikini kuliko yote marekani!! Hebu pitia hapaKiryas Joel, New York
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…