Tanesco wanakuwa kama hawagongwi vile
Yaani kwa mfano unasema tu
Ubungo hakuna umeme, halafu unasema hayoooooo matanesco hayana maana.
Yaani yazomeeni ili mmalize hasira zenu zote sababu yanakusanya kodi na huduma ni mbovu miaka 60 ya uhuru hayana hata aibu.
Tufanye mabadiliko kabla ya 2025 ccm out.Yaani kwa mfano unasema tu
Ubungo hakuna umeme, halafu unasema hayoooooo matanesco hayana maana.
Yaani yazomeeni ili mmalize hasira zenu zote sababu yanakusanya kodi na huduma ni mbovu miaka 60 ya uhuru hayana hata aibu.
Hili eneo sijui wamewakosea nini TANESCOUyole Mbeya Hayoooo!
si kwel , una mkatia tajir mchana unahisi tajir anashinda home ?Kipind hichi tanesco halijafanya ubaguzi kwenye ukataji umeme Kati ya mitaa ya vigogo na wananchi wa kawaida wembe Ni Ule Ule Wote gizani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]