Eneo ulipo kama hakuna umeme taja tuwazomee TANESCO

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Yaani kwa mfano unasema tu

Ubungo hakuna umeme, halafu unasema hayoooooo matanesco hayana maana.

Yaani yazomeeni ili mmalize hasira zenu zote sababu yanakusanya kodi na huduma ni mbovu miaka 60 ya uhuru hayana hata aibu.
 
Aiseh umeme hakuna na mvua inanyesha yani vibaka wanaanza kujigawa kwa makundi
Yaani kwa mfano unasema tu

Ubungo hakuna umeme, halafu unasema hayoooooo matanesco hayana maana.

Yaani yazomeeni ili mmalize hasira zenu zote sababu yanakusanya kodi na huduma ni mbovu miaka 60 ya uhuru hayana hata aibu.
 
Bora tozo mara laki kuliko kukosa umeme kila siku...
 
Kipind hichi tanesco halijafanya ubaguzi kwenye ukataji umeme Kati ya mitaa ya vigogo na wananchi wa kawaida wembe Ni Ule Ule Wote gizani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
si kwel , una mkatia tajir mchana unahisi tajir anashinda home ?
 
Back
Top Bottom