GE2025 Eng. Ezra Chiwelesa achukua form kutetea jimbo la biharamulo magharibi baada ya wananchi kumchangia pesa na kumuomba agombee

GE2025 Eng. Ezra Chiwelesa achukua form kutetea jimbo la biharamulo magharibi baada ya wananchi kumchangia pesa na kumuomba agombee

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Eng Ezra John Chiwelesa amechangiwa na wananchi wa biharamulo ili aweze kugombea tena ubunge wa jimbo la biharamulo magharibi

Wakati uwakilishi wake biharamulo imeshuhudia ukuaji mkubwa wa miundombinu na utoa wa huduma za kijamii kwa kasi kubwa .
Ujenzi wa barabara za lami za mitaa ,ujenzi wa shule mpya za msingi na sekondari ikiwepo ukarabati wa shule kongwe, uhakika wa umeme usiokatika katikakatika ikiwemo kufanikisha ujenziwa kituo kikubwa cha upozaji umeme cha KV220 cha bilioni600, mradi mkubwa maji wa ziwa victoria wa bilioni 76 imewafanya wananchi wamchangie na kumshawishi agombee tena ubunge.

Ujenzi wa hospitali ya wilaya ya biharamulo tangu uhuru haikuwepo,kufukiwa kwa vijiji vingi katika mawasiliano na umeme na imekuwa sababu kubwa ya wananchi hao kuamua kumchangia form na kumpa tuzo maalumu uwajibikaji kwa jimbo hilo lililokuwa limewekwa pembeni kimaendeleo.


Uwezo wa usimaizi wa miradi na kuongezeka kwa mapato huku michango yake ya kutetemesha bunge kila mara kuibua wananchi kusema hapana huyu ni wetuhatumuachi .

BlendMePhoto1751273389264.jpg
BlendMePhoto1751275030789.jpg
BlendMePhoto1751275030789.jpg
IMG-20250629-WA0030.jpg
 
Back
Top Bottom