PreGE2025 Eng Ezra Chiwelesa, zao la kahawa litainua uchumi wa kijani baada ya ndizi jimboni biharamulo

PreGE2025 Eng Ezra Chiwelesa, zao la kahawa litainua uchumi wa kijani baada ya ndizi jimboni biharamulo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
MRADI WA KUSAMBAZA MBEGU ZA KISASA ZA MIKAHAWA JIMBONI BIHARAMULO NDIO MWAROBAINI WA UCHUMI WA KIJANI .

Kahawa inakamilisha dhahabu ya kijani kwa wanabiharamulo kujikwamua baada ya zao la ndizi na kuinua uchumi wa kijani
FB_IMG_1749579115692.jpg


Kama unafukiri umepitwa na mradi huu usiogope miche ipo ya kutosha na kila mwaka imekuwa ikiletwa biharamulo na watu wamechangamkia zao hili ambalo kwa sasa kilo moja ya zao la kahawa huuzwa kuanzia 5000-11000 kwenye midana kutegemea na aina ya kahawa .

Wasiliana na afisa kilimo aliyekaribu yako kwa kila kata na kijiji .

Mbele ya mh rais Samia mbunge wa biharamulo alimuomba Mh Rais kuondoa umaskini biharamulo kwa kurudisha mazao ya biashara yalikuwa yanainua pato la wanabiharamulo na wilaya hasa kahawa, Mh Rais Samia akamtaka waziri wa kilimo Mh Hussein Bashe ajibu na ndio mwanzo mkubwa wa kupata mbegu bora ya miche kwa kuwa mh waziri alijibu kuwa biharamulo itanufaika na mbegu bora za kahawa,alizeti, miwese na migomba .

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Zamani zao hili ndio lilikuwa zao kuu la biashara wilayani ikiwemo tumbaku na pamba na sasa miche hii ya kahawa huweza kuchukua muda mfupi kumea na kuanza kutoa mazao.

Soko la uhakika duniani na zao lisilo chosha kwa kulima kila siku .

AKIAHIDI ANATEKELEZA KUWA SHAHIDI
 
Back
Top Bottom