Katumia platform ya Yanga kujulikana CAF, kuongea na vilabu vikubwa vya Ulaya, kukutana na wachezaji wakubwa, n.k, lkn Yanga inazidi kudorora na kuporomoka.
Yanga ni ya kushindwa kuvuka makundi kweli? Ndiyo! Yanga haitavuka makundi, kwasabb mchezo ujao atakuwa DR Congo kucheza na TP Mazembe.
Unadhani atashinda mchezo huo? Na akisuluhu ama kupoteza, biashara imeishia.
Hata wachambuzi wa South Africa wanasema timu zitakazoingia robo ni MC Algiers na Al Hilaly ktk kundi hilo.
Eng ni mjanja mjanja tu. Yaani anasajili makapi ya Simba halafu anatudanganya atachukuwa kombe la klabu bingwa Africa!