Yanga haikujipanga kwasababu ya usajili mbovu na muundo wa utawala ambao haujielewiKatumia platform ya Yanga kujulikana CAF, kuongea na vilabu vijubwa vya Ulaya, kukutana na wachezaji wakubwa, n.k, lkn Yanga inazidi kudorora na kuporomoka.
Yanga ni ya kushindwa kuvuka makundi kweli? Ndiyo! Yanga haitavuka makundi, kwasabb mchezo ujao atakuwa DR Congo kucheza na TP Mazembe.
Unadhani atashinda mchezo huo? Na akisuluhu ama kupoteza, biashara imeishia.
Hata wachambuzi wa South Africa wanasema timu zitakazoingia robo ni MC Algiers na Al Hilaly ktk kundi hilo.
Eng ni mjanja mjanja tu. Yaani anasajili makapi ya Simba halafu anatudanganya atachukuwa kombe la klabu bingwa Africa!!
Magoma soon atakuwa shujaaMagoma alikuwa mbele ya muda
😂😂😂 We jamaa weweMagoma alikuwa mbele ya muda
Bado hamjasema mpaka mnene kiyunani na kiethini,mmekuwa mpechempecheKatumia platform ya Yanga kujulikana CAF, kuongea na vilabu vijubwa vya Ulaya, kukutana na wachezaji wakubwa, n.k, lkn Yanga inazidi kudorora na kuporomoka.
Yanga ni ya kushindwa kuvuka makundi kweli? Ndiyo! Yanga haitavuka makundi, kwasabb mchezo ujao atakuwa DR Congo kucheza na TP Mazembe.
Unadhani atashinda mchezo huo? Na akisuluhu ama kupoteza, biashara imeishia.
Hata wachambuzi wa South Africa wanasema timu zitakazoingia robo ni MC Algiers na Al Hilaly ktk kundi hilo.
Eng ni mjanja mjanja tu. Yaani anasajili makapi ya Simba halafu anatudanganya atachukuwa kombe la klabu bingwa Africa!!
Mpira tusiende nao hivyo. Hata hapo bado Yanga inaweza kwenda robo fainali kama ilivyokuwa kwa Simba baada ya kupoteza ugenini na Horoya kisha kupigwa nyumbani na Raja.Katumia platform ya Yanga kujulikana CAF, kuongea na vilabu vijubwa vya Ulaya, kukutana na wachezaji wakubwa, n.k, lkn Yanga inazidi kudorora na kuporomoka.
Yanga ni ya kushindwa kuvuka makundi kweli? Ndiyo! Yanga haitavuka makundi, kwasabb mchezo ujao atakuwa DR Congo kucheza na TP Mazembe.
Unadhani atashinda mchezo huo? Na akisuluhu ama kupoteza, biashara imeishia.
Hata wachambuzi wa South Africa wanasema timu zitakazoingia robo ni MC Algiers na Al Hilaly ktk kundi hilo.
Eng ni mjanja mjanja tu. Yaani anasajili makapi ya Simba halafu anatudanganya atachukuwa kombe la klabu bingwa Africa!!
Next mechi ni dhidi ya mazembe pale congo, mkikandwa bye bye 👋Mpira tusiende nao hivyo. Hata hapo bado Yanga inaweza kwenda robo fainali kama ilivyokuwa kwa Simba baada ya kupoteza ugenini na Horoya kisha kupigwa nyumbani na Raja.
Ila kazi kubwa inatakiwa ifanyike na kuacha upuuzi wa kuiacha timu kwa mtu mmoja kama mali yake binafsi. Kuwe na watu kazi kadhaa warudishe ari ya timu ambayo sasa imetoweka.
Wachezaji wanacheza na hofu, pia wana hali ya kujitazama kama hawako sawa, na ni wazi kuondoka kwa Gamondi kumewapa hali ya kuchanyikiwa.
Nasisitiza, Yanga bado ina nafasi, na ikiamua inaweza kwenda robo fainali kibabe kabisa.
Ova
Mechi ya NAMUNGO yanga alikua anafungwa SEMA NAMUNGO WALIKOSA TALENT PALE MBELE NA NILITABIR YANGA HII IKIKUTANA NA KIPIMO HALISI WANACHEZEA KOKI HUU MSIMU..Bado hamjasema mpaka mnene kiyunani na kiethini,mmekuwa mpechempeche